Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuanza ziara ya siku mbili mkoani Manyara, kuanzia tarahe 22 mwezi huu.
Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Manyara mkuu wa mkoa huo Charles wa Makongoro amesema kuwa, akiwa mkoani humo pamoja na mambo mengine Rais Samia atatembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo