Rais Samia kufanya ziara China

0
228

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa nchini China kuanzia tarehe 2 hadi 4 mwezi Novemba mwaka huu kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping wa Taifa hilo.