Rais Samia: Hakuna wa kushika dola 2025 hapa

0
139

“ Leo hapa tumejawa na furasa kwa sababu ya matunda ya mazungumzo na maridhiano. Ndugu zangu siasa ni mchezo wa mawazo na fikra, kulumbana kwa hoja, kuangalia amekosea wapi nimkosoe, nani kasema nini nimjibu naji defend (najibu hoja).”

“Kama alivyosema Mwenyekiti wa BAWACHA na Mwenyekiti Mbowe lengo ni kushika dola, na kwa sura nazoziona hapa hamna dhamira ya kushika dola, hamna…. mnajua Mama yupo.”