Rais Samia atembelea wagonjwa

0
145

Rais Samia Suluhu Hassan ametembelea wodi ya watoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara, alipokuwa akikagua ujenzi wa majengo mbalimbali hospitalini hapo ikiwa ni siku ya pili na ya mwisho ya ziara yake mkoani humo.