Rais Samia anathamini haki za binadamu

0
498

“Rais Samia Suluhu Hassan kwanza ana historia ya kufanya kazi katika wizara, ofisi katika masuala ya mazingira alipokuwa Makamu wa Rais, anafahamu vizuri sana.

Lakini pia huko nyuma ana historia ya kufanya kazi na asasi za kiraia hivyo masuala ya haki za binadamu anayathamini sana kwa hiyo kwa namna yoyote hawezi kuwa anashiriki katika mradi ambao unavuruga vyote hivyo,” amesema Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha