Rais Mwinyi msibani kwa Askofu

0
115

Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa Marehemu Askofu Mstaafu John Ramadhan wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar leo.

Mazishi yamefanyika katika viwanja vya Kanisa la Anglikana Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja.