Kitaifa Rais Mwinyi kwenye mashindano ya kuhifadhi Qur’an tukufu By Dickson Mushi - April 25, 2021 0 126 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, aliposhiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur’an Tukufu yanayofanyika leo kwenye uwanja wa Mkapa mkoani Dar es salaam.