


Viongozi wastaafu wakiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ali (picha ya juu Kulia) waliohudhuri mhadhara wa uliongoongozwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Benjamini Wiliam Mkapa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) uliokuwa ukizungumzia maendeleo ya nchi za Jumuiya za Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) mapema leo Agosti 15, 2019.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe aliyemuwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof Palamagamba Kabudi akitoa machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Rais Mstaafu Mkapa.