Rais Magufuli kuzindua Ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi

0
398

Rais Dkt. John Pombe Magufuli anazindua uzinduzi wa ujenzi wa daraja la kigongo Busisi pamoja na Barabara unganishi katika eneo la Kigongo wilaya ya Misungwi