Mamia ya Wakazi wa mkoa wa Rukwa wameiitokeza katika uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga, kwa ajili ya kumsikiliza Rais John Magufuli akayehutubia mkutano wa hadhara mchana huu.
Rais Magufuli yuko mkoani Rukwa akiendelea na ziara yake ya kikazi mkoani humo.
