Rais Magufuli kuanza ziara Njombe akitokea Ruvuma

0
166

Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Njombe pamoja na Wananchi wakionekana wenye bashasha katika kata ya Kifanya mkoani humo, wakimsubiri Rais John Magufuli anayetarajia kuanza ziara yake ya kikazi akitokea mkoani Ruvuma.