Rais Magufuli azungumza na mjumbe wa Kansela wa Ujerumani

0
336

Rais John Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa masuala ya Afrika wa
Kansela wa Ujerumani, – Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo  na mjumbe huyo Ikulu jijini Dar es salaam.