Rais Magufuli awasili Songwe kuanza ziara ya siku Nne

0
111

https://www.youtube.com/watch?v=XH_EjAbuDRU&feature=youtu.be

Rais John Magufuli ameanza ziara ya kikazi ya siku Nne mkoani Songwe.

Mara baada ya kuwasili mkoani humo, Rais Magufuli akiwa na Mke wake Mama Janeth Magufuli, amepokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo.