Rais Magufuli atoa maagizo kwa Waziri Simbachawene na Naibu Waziri Bashe

0
254

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemtaka Waziri Simbachawene kuhakikisha fedha nyingi zinazoelekezwa katika masuala ya mazingira zinaleta matokeo ya kuboresha mazingira

Kwa upande wake Naibu Waziri Hussein Bashe kutoka kwa Rais Magufuli amemtaka kutekeleza kwa vitendo mawazo yake mazuri ambayo amekuwa akiyatoa Bungeni kuhusu sekta ya kilimo ili kukabiliana na changamoto mbalimbali.