Rais Magufuli akutana na Wafanyabishara

0
548

Rais John Magufuli amekutana na Wafanyabiashara kutoka wilaya zote nchini, pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa-TNBC, mkutano uliofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.