Rais Magufuli akutana na viongozi mbalimbali

0
232

Rais John Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Wizara mbalimbali, Mikoa, Wilaya, pamoja na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta.

Mkutano huo umefanyika Ikulu jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa pia na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.