Kitaifa Rais Magufuli afanya mazunguzmo na Waziri Erikkson By TBC - May 20, 2019 0 380 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo wa Sweden, – Peter Erikkson Ikulu jijini Dar es salaam, mazungumzo yaliyohudhuriwa pia na Balozi wa Sweden nchini Andres Sjoberg.