Rais John Magufuli akutana na Watendaji wa Kata

0
190

Rais John Magufuli amesema kuwa mkutano wake na Watendaji wa Kata kutoka nchi nzima ni kubadishana mawazo kwa kuwa Watendaji hao wapo karibu zaidi na Wananchi na wanajua changamoto mbalimbali zinazowakabili.