Rais Dkt. MWINYI AWAJULIA HALI MAJERUHI

0
151

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi akiwa na baadhi ya viongozi wa Serikali ya Zanzibar, wakiwajulia hali majeruhi wa ajali ya gari la Waandishi wa habari, waliokuwa kwenye msafara wa Makamu wa Pili wa Rais, ambalo limepata ajali wakielekea mkoa wa Kusini.

Majeruhi hao wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Mnazi Mmoja iliyopo Zanzibar.