Rais awatakia heri STD VII

0
114

Rais Samia Suluhu Hassan kupitia ukurasa wake wa Twitter amewatakia heri wanafunzi wote wanaoanza mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi hii leo.

Amesema serikali itahakikisha maandalizi yanakamilika ya kuwapokea wanafunzi watakaofanikiwa kuendelea na kidato cha kwanza mwaka 2023.