RAIS ATETA NA BOSI WA AfDB

0
111

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Ikulu jijini Dar es salaam, amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Adesina akinwumi.

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo hayo kwa njia ya simu na Dkt. Akinwumi ambaye yuko Abidjan nchini Ivory Coast.