Rais atengua uteuzi wa DED

0
186

Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Mwanza kuanzia Aprili 16, 2023.