Rais ahani msiba wa mtoto wa Mzee Mwinyi

0
298

Rais Samia Suluhu Hassan akimpa pole Rais mstaafu wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi, kufuatia kifo cha mtoto wake Hassan Ali Mwinyi mara baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Chukwani mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhani msiba.

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi mara baada ya kuhani msiba wa mtoto wa Mzee Mwinyi, Hassan Ali Mwinyi nyumbani kwa marehemu
Chukwani mjini Zanzibar.