Rais afanya ziara DRC

0
168

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo FĂ©lix Tshisekedi , wakipokea gwaride rasmi alipowasili Ikulu jijini Kinshasa kuanza ziara rasmi ya siku moja.