Kitaifa PRECISION YAOPOLEWA By Adrina mariki - November 8, 2022 0 162 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Kazi ya kuopoa kutoka kwenye maji ndege ya Shirika la ndege la Precision iliyopata ajali tarehe 6 mwezi huu mkoani Kqgera, imekamilika. Kazi ya kuopoa ndege hiyo imefanywa kwa ushirikiano wa serikali, taasisi binafsi na vikosi mbalimbali.