Picha za Maukio mbalmbali ya maonesho ya 4 ya SADC

0
1476
Picha mbalimbali zikionyesha baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar Es Salaam waliohudhuria maonesho kwenye maadhimisho ya Wiki ya Viwanda ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Nchi za Kusini mwa Africa (SADC), yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.