Nimenusurika

0
114

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan wa kuendelea kumuamini ahudumu katika mkoa huo.

“Rais (Samia Suluhu Hassan) amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa kwa nia njema, lakini mimi ndugu yenu nimenusurika, kama ningeondolewa ningesikitika maana ndio kwanza nimeanza kuwazoea.”

Makongoro ameyasema hayo leo Julai 28, 2022, wakati wa zaiara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa akikagua ujenzi wa miundombinu ya shule ya sekondari Matui wilayani Kiteto