Naibu Waziri Gekul Akutana na Wahitimu ya Uigizaji

0
827

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Pauline Gekul amekutana na
Waigizaji waliohitimu mafunzo ya uigizaji chini ya udhamini wa Kampuni ya MultChoice Bungeni Jijini Dodoma hi leo Mei 6, 2021.

Naibu Waziri Gekul amewataka waigizaji hao kutumia taaluma waliyoipata kuboresha kazi zao ili kuuza kazi zao ndani na nje ya nchi. 

Miongoni mwa kazi za wahitimu hao ni tamthilia ya Jua Kali, Huba na Pazia ambazo zinaoneshwa kupitia moja ya Chaneli ya zilnazomilikiwa na DSTV