Mzee Mkapa ateuliwa tena na Rais Magufuli

0
395

Rais Dkt. John Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mzee Benjamin Mkapa kuwa Mkuu wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kipindi cha pili mfululizo.

Wakati huo huo Rais Magufuli amemteua Profesa Ignas Rubaratuka kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kipindi cha pili mfululizo.

Uteuzi huo umeanza Mei 10 mwaka huu