Kitaifa Mzee Jengua afariki dunia By Dickson Mushi - December 15, 2020 0 174 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Msanii mkongwe wa filamu nchini Mohammed Fungafunga maarufu kama Mzee Jengua, amefariki dunia asubuhi ya leo huko Mkuranga mkoani Pwani. Taarifa za awali zinaeleza kuwa Mzee Jengua alikuwa akisumbuliwa na kiharusi.