Mwongozo wa Uwekezaji mkoani Pwani wazinduliwa

0
287

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua Mwongozo wa Uwekezaji wa mkoa wa Pwani wakati wa maonesho ya Viwanda na Biashara pamoja na Kongamano la Uwekezaji la mkoa wa Pwani. Baada ya uzinduzi huo, nakala za mwongozo huo zimegawiwa kwa Viongozi na Wadau mbalimbali wa Uwekezaji.