Mwigulu Waziri mpya wa Katiba na Sheria

0
411

Rais John Magufuli amemteua Dkt Mwigulu Nchemba ambaye ni Mbunge wa Iramba Mashariki kuwa Waziri wa Katiba na Sheria.

Uteuzi wa Dkt Mwigulu Nchemba umeanza leo.

Dkt Mwigulu anachukua nafasi ya Balozi Augustine Mahiga ambaye amefariki dunia hapo jana.