Mufti azungumzia kitendo cha kuchana Quran

0
250

Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir amesema kuwa kitendo cha kuchana Quran kilichofanywa na Daniel Maleki huko Kilosa mkoani Morogoro ni cha mtu binafsi na wala hakihusiani na dini yoyote.

Mufti ametoa kauli hiyo wakati wa mkutano wake na Waandishi wa habari wilayani Korogwe mkoani Tanga.