Mubashara: Dawa ya corona ikipokelewa nchini Tanzania

0
480

Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja ya hafla ya upokeaji wa dawa ya virusi vya corona kutoka nchini Madagascar.

Zoezi hilo linalofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, linaongozwa na Waziri wa Mambo na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi.