Mtambo wakufyatua noti Bandia Wakamatwa Dar

0
204

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumiliki mitambo ya kutengeneza noti bandia na kukutwa na fedha bandia za Tanzania na mataifa mengine zenye thamani ya zaidi ya
Shilingi Milioni MIA SITA.

Akizungumza Jijini DSM Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM, LAZARO MAMBOSASA ametoa onyo kwa wote wanaojihusisha na biashara hiyo kwani wanahujumu uchumi wa nchi na kurudisha nyuma maendeleo ya Taifa.