MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AZUNGUMZIA MAENDELEO YA SENSA “MAKARANI TUNZENI VIFAA”

0
116

Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ametoa taarifa ya maendeleo ya zoezi la sensa ya watu na makazi linaloendelea nchini kote, ambapo pia amewataka makarani wa sensa kuwa makini na vitendea kazi walivyokabidhiwa.