Mradi wa rusumo kuzinduliwa kwa pamoja

0
146

“[Tanzania na Rwanda] tumezungumzia suala la mradi wetu wa Rusumo ambao tumeshukuru unakwenda vizuri na tumekubaliana tutakwenda kuuzindua kwa pamoja,”- Rais Samia Suluhu Hassan.

Mradi wa umeme wa Rusumo utakaozalisha umeme kwa kutumia maji unaoshirikisha nchi tatu za Burundi, Rwanda na Tanzania ambapo utazalisha Megawati 80 na kila nchi itapata Megawati 27.