Mkutano wa Wakadiriaji Majenzi, Wahandisi na Makandarasi wafunguliwa

0
160

Rais John Magufuli amefungua mkutano wa siku Mbili wa Bodi ya Wakadiriaji Majenzi, Wahandisi na Makandarasi unaofanyika jijini Dar es salaam na kusisitiza kuwa sekta ya ujenzi ina mchango mkubwa katika maendeleo ya Taifa, hivyo ni vema ikaangaliwa kwa namna ya kipekee.

https://www.youtube.com/watch?v=14jeJU-CKWY&feature=youtu.be