Mkutano wa wadau wa elimu kwa umma Wafunguliwa Rasmi

0
289

Waziri wa Habari Utamaduni sanaa na michezo Dr. Harrison Mwakyembe akifungua rasmi mkutano wa wadau wa elimu kwa umma Jijini

Mkutano ambao umeandaliwa na TBC ukiwajumuisha maafisa habari na wadau mbalimbali wa habari nchini.