Mkutano wa ATAF wafanyika Arusha

0
137

Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mcha Hassan Mcha, amefungua mkutano wa Jukwaa la Taasisi za kodi Barani Afrika (ATAF) uliofanyika jijini Arusha.

Mkutano huo umewakutanisha wajumbe kutoka nchi 37 za Afrika zinazounda jukwaa hilo kwa8 lengo la kuandaa chapisho la takwimu za kodi zinazolingana (comparable taxes statistics).