Mkurugenzi TPDC arudishwa Kazini

0
177

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza wizara ya nishati kumrejesha kazini mara moja aliekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) Dkt. James Mataragio.