Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Mkongo wa Baharini wa Airtel-2Africa na huduma ya intanet ya 5G.
Mkongo huo utasaidia kushusha mara 10 gharama za mawasiliano nchini na una spidi ya 180 TB kwa sekunde, ambapo tayari umeunganisha mabara matatu.
Tupo Mbashara kupitia TBC1, TBC Taifa na mtandao wa YouTube wa TBC online.