Mjadala wa wabunge

0
151


Baadhi ya wabunge wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza kwa kikao cha nne cha mkutano wa 8 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mkoani Dodoma.

Hii leo Bunge litajadili azimio la Bunge la kuridhia kufuta hasara/ upotevu wa fedha na vifaa vya serikali kwa kipindi kilichoishia tarehe 30 Juni, 2022.