Mjadala wa ajenda ya demokrasia

0
116

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameshiriki katika mjadala wa ajenda ya demokrasia uliowakutanisha wakuu wa nchi na serikali pamoja na wakuu wa mashirika ya kimataifa uliofanyika kando ya mkutano wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa (UNGA) jijini New York, Marekani.