Samizi aibuka mshindi jimbo la Muhambwe

0
166

Mgombea wa CCM, Dkt. Florence Samizi aibuka mshindi uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Muhambwe. Awali, jimbo hili lilikuwa likiwakilishwa na marehemu Mhandisi Atashasta Nditiye.