Mengi aagwa

0
268

Rais John Magufuli amewaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt Reginald Mengi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.

Viongozi mbalimbali wameshiriki katika shughuli hiyo akiwemo Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahimu Juma na Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi – CUF Taifa Profesa Ibrahim Lipumba.