Mchakato wa kuandaa sheria ndogo

0
145

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt Adelardus Kilangi ameliambia Bunge kuwa baada ya kutungwa kwa sheria ndogo, utaratibu unaofuata ni kupelekwa kwa Mwanasheria Mkuu na kisha katika wizara husika kwa kufuata utaratibu maalumu.