Mbowe amtembelea RC Sengiga

0
138

Mkuu wa mkoa wa Iringa, Queen Sendiga akiagana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe aliyefika ofisini kwake kumsalimia.

Hapo jana, Mbowe alikuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Baraza la Wanawake la chama hicho BAWACHA , ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani, kongamano lililofanyika mjini Iringa.