Mbashara: Matangazo ya maombolezo ya kifo cha Rais Magufuli

0
621

Ibada ya kuaga mwili wa marehemu Dkt. John Pombe Magufuli katika Kanisa la Mt. Petro, Dar es Salaam

Mjadala baada ya Samia Suluhu Hassan kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Samia Suluhu Hassan akila kiapo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Uchambuzi wa Mambo makubwa aliyoyafanya Rais John Magufuli enzi za uhai wake.

#TBCLIVE​ : ARIDHIO MAALUM MACHI 18.2021 | SAA 1:00 – 3:00 USIKU #TBCLIVE​: KATIBA INASEMAJE KUHUSU RAIS AKIFARIKI AKIWA MADARAKANI? #TBCLIVE​: MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AKITOA TAARIFA YA AWALI KUHUSU MSIBA WA MAGUFULI #TBCLIVE​ WIMBO​​​: KWAHERI RAIS MAGUFULI

Wananchi wakieleza hisia zao kufuatia kifo cha Rais Dkt. John Magufuli.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole akitangaza taarifa ya chama hicho kuhusu kufariki kwa Dkt. Magufuli ambaye alikuwa mwenyekiti wa chama hicho.

Kwaheri Shujaa wa Afrika

Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma kufuatia kifo cha Rais Dkt. Magufuli.

Fautilia matangazo ya moja kwa moja kutoka maeneo mbalimbali nchini Tanzania ambapo wananchi wanaeleza namna walivyopokea taarifa za kifo cha Rais Dkt. John Magufuli na namna watakavyomkumbuka.

Dkt. Magufuli amefariki dunia Machi 17, 2021, Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitangaza kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.