Kitaifa Mauzo ya kitabu cha Maisha ya Mzee Mkapa kupelekwa Taasisi ya Uongozi By Judith Ene Laizer - November 12, 2019 0 251 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Mzee Benjamin Mkapa ameamua kuwa, mauzo yote ya kitabu kinachoelezea maisha yake Binafsi yaende kwenye Taasisi ya Uongozi na kwamba yeye hatochukua pesa yoyote.